BIMA NI NINI? ~ Covenant Company (T) Limited

Ads

1.1.16

BIMA NI NINI?

Posted By: Covenant Company (T) Limited - 19:30


.BIMA NI NINI?

.Bima ni mpango unaotoa fidia endapo janga litatokea kwa mkatabima. Fidia hiyo hutolewa kutoka kwenye michango ya wakatabima wanaounda Umoja wa kukabiliana na majanga.
Mpango huu ni mkataba wa kisheria unaohusisha pande mbili:
  • Upande wa kwanza ni mkusanyaji wa michango ambaye ni kampuni ya bima.
  • Upande wa pili unamhusisha mkatabima ambaye huchangia ada iliyokubalika.

Aina za bima tunazokata :

  • Magari (Motor Vehicle - Comprehensive & Third Party)
  • Moto (Fire)
  • Vihatarishi vyote vya wakandarasi (Contractor's All Risk)
  • Meli (Marine Insurance)
  • Bidhaa zinazosafirishwa (Goods in Transit)
  • Nyumba na Mali (Domestic Package)
  • Ndege (Aviation)
  • Wizi (Burglary)
  • Dhamana (Bonds)
Karibu tukuhudumie, kwa mahitaji ya Bima piga 0754233717 tutakufuata popote ulipo Arusha, Dar es Salaam, Mwanza, Mbeaya.



Covenant Company (T) Limited

Habari, Ni furaha kwetu kukuhudumia Popote ulipo. Tupigie / Call/WhatsApp Us +255754233717 kwa uhitaji wa huduma zetu. Karibu

0 comments:

Post a Comment

© 2016 - 2021 | Covenant Company (T) Limited. All Rights Reserved | Privacy . Terms |

Designed By Kanuti|+255754233717