5% PUNGUZO LA BIMA (INSURANCE) ~ Covenant Company (T) Limited

Ads

13.8.22

5% PUNGUZO LA BIMA (INSURANCE)

Posted By: Covenant Company (T) Limited - 13:46


PUNGUZO LA BIMA KWA 5%

Je, umewahi kujiuliza utapata wapi punguzo la Gharama za Bima za Gari lao??
Umefika mahali sahihi.

Bima Tanzania, Insurance Tanzania

Tunatoa punguzo la 5% kwa wateja wetu wa BIMA. Zifuatazo ni sifa ili upate hilo punguzo:

  1. Ni lazima Gari yako ukatie BIMA KUBWA.
  2. Ni lazima Gari yako iwe imefungwa Kifaa cha Kufuatilia Gari (GPS Car Tracking device).

Bima Kubwa ya Gari (Comprehensive) itakukinga dhidi ya:

  • Uharibifu wa gari kutokana na majanga ya barabarani
  • Moto
  • Wizi wa Gari
  • Mafuriko, Kimbunga, Dhoruba, n.k.
  • Na majanga yote yanayofidiwa na Bima ndogo.

MAHITAJI ILI KUPATA BIMA KUBWA

  • Kadi ya Gari
  • Kitambulisho halali (NIDA, Leseni ya Udereva, n.k)
  • Thamani ya Gari (KWA BIMA KUBWA)
  • Picha za gari kwa wakati huo (KWA BIMA KUBWA), tutakuja kupiga picha.
  • Tutumie kupitia whatsapp +255754233717 na ndani ya DK 3 baada ya kufanya malipo kupitia MPESA, TIGO PESA, direct banking (sim banking) n.k.
  • Tutakutumia documents zoote ndani ya DK 4.

Covenant Company (T) Limited

Habari, Ni furaha kwetu kukuhudumia Popote ulipo. Tupigie / Call/WhatsApp Us +255754233717 kwa uhitaji wa huduma zetu. Karibu

0 comments:

Post a Comment

© 2016 - 2021 | Covenant Company (T) Limited. All Rights Reserved | Privacy . Terms |

Designed By Kanuti|+255754233717