.KATA BIMA YA GARI KABLA YA KUTOKA BANDARINI ~ Covenant Company (T) Limited

Ads

27.8.21

.KATA BIMA YA GARI KABLA YA KUTOKA BANDARINI

Posted By: Covenant Company (T) Limited - 13:09


bimapopote

Kata Bima ya Gari kabla ya kutoka Bandarini

Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania ina watangazia Wamiliki na Watoaji magari Bandarini kuwa kuanzia tarehe 16 Agosti 2021.

Ukaguzi wa Bima kwa vyombo vya Moto (Magari) bandarini utaanza rasmi.

Hivyo, hakikisha umekata Bima ya Gari (magari) kabla ya kutoka getini.

Tangazo hilo juu, lilitolewa na Kamishna wa Bima Tanzania mnamo tarehe 11 Agosti 2021.

Nakala kwa Mkurugenzi wa Bandari Tanzania na Raisi wa TAFFA. 

Bima ya Gari Tanzania

IKIWA UPO BANDARINI AU POPOTE PALE TANZANIA NA UNAHITAJI BIMA HALAL WASILIANA NA SISI TUTAKUHUDUMIA MASAA 24 SIKU SABA ZA WIKI;

+ 255 754 233 717
+ 255 715 233 717
+ 255 784 233 717


IKIWA WEWE NI DALALI WA MAGARI AU MMILIKI WA SHOW ROOM/YARD YA MAGARI WASILIANA NA SISI KWA HUDUMA BORA ZA BIMA TANZANIA.

Tii Sheria Bila Shuruti, Epuka Usumbufu

BIMA TANZANIA, bimapopote

Covenant Company (T) Limited

Habari, Ni furaha kwetu kukuhudumia Popote ulipo. Tupigie / Call/WhatsApp Us +255754233717 kwa uhitaji wa huduma zetu. Karibu

0 comments:

Post a Comment

© 2016 - 2021 | Covenant Company (T) Limited. All Rights Reserved | Privacy . Terms |

Designed By Kanuti|+255754233717